Asilimia 20 pato la taifa Kenya kutoka viwandani

Rais wa Jamhuri ya Kenya William Ruto

Rais William Ruto wa Kenya amesema mjini Nairobi kuwa mpango wa asilimia 20 hadi mwaka 2030, ni mpango wa utekelezaji wenye lengo la kuongeza mchango wa sekta ya viwanda kwenye pato la taifa kufikia asilimia 20 kabla ya mwaka 2030, kutoka asilimia 7.2 ya sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS