Soko la hisa lashuka kwa asilimia 0.71

Thamani ya soko la hisa la Dar es salaam imeshuka Kwa asilimia 0.71na kufikia shilingi trilioni 15.28 ikilingaishwa na thamani ya soko Hilo katika juma lililoishia Octoba saba ambapo ilikuwa na thamani ya shilingi trilioni 15.39

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS