Biashara ya watumwa Africa ni uhalifu - UN Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotambua kuwa biashara ya utumwa dhidi ya Waafrika kuwa ni uhalifu mbaya zaidi dhidi ya ubinadamu. Read more about Biashara ya watumwa Africa ni uhalifu - UN