Serikali kudhibiti wizi kwa njia ya mtandao

Mkurugenzi Msaidizi wa kitengo  cha masuala ya usalama mtandaoni kutoka Wizara ya Mawasiliano Steven Wangwe

Kutokana na kukithiri kwa matukio ya wizi kwa njia ya mtandao,Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini imesema haitosita kubadili kanuni na sheria katika kukabiliana na matukio hayo na kuwahakikishia usalama watumiaji wa mtandao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS