Karibu wanawake 500 hufariki wakijifungua - Amref
Mwenyekiti wa Bodi ya Amref Afrika nchini Tanzania amesema kwamba taasisi hiyo inajitahidi kufanya kazi na wadau wake ili kupunguza vifo vya wanawake wanaofariki kutokana na matatizo wakati wa kujifungua.