Watendaji wa TANESCO waonywa Shirika la umeme nchini TANESCO Kanda ya Magharibi ikiwemo Mkoa wa Tabora limewaonya watendaji kazi wake ambao wamekuwa na uzembe unaoambatana na mlolongo mrefu unaochelewesha huduma kwa wananchi. Read more about Watendaji wa TANESCO waonywa