RC Homera atoa tahadhari fedha za lishe

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera  amewataka viongozi wa  Halmashauri zote za mkoa huo kumpatia taarifa za watumishi watakaotumia fedha za lishe kinyume na maelekezo ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS