Utapiamlo tatizo kubwa Afrika Mashariki Ripoti mpya inasema kwamba Zaidi ya Watoto milioni 10 Mashariki mwa Afrika wana utapiamlo , huku takribani watu 300,000 wakiwa katika hatari ya kufa kwa njaa. Read more about Utapiamlo tatizo kubwa Afrika Mashariki