Imani potofu kikwazo chanjo ya UVIKO - 19

Mila Potofu miongoni mwa jamii mkoani  Arusha juu ya Chanjo ya UVIKO -19 ikiwemo kuhusisha  Chanjo hiyo na Imani za zisizofaa  imetajwa kama kikwazo kwa baadhi ya watu kushinndwa kupata chanjo  hiyo Hali inayokwamisha zoezi hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS