Killy na Cheed watemana na Kondegang

Picha ya Harmonize, Killy na Cheed

Lebo ya Kondegang chini ya Harmonize imetoa taarifa rasmi ya kuachana na wasanii wake Official Killy na Official Cheed ambao walijiunga mwaka 2020 kutokea Kings Music Records ya Alikiba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS