Australia kutoitambua Jerusalem kama mji mkuu

Mji wa Jerusalem Magharibi

Wapalestina wameupongeza uamuzi uliochukuliwa na Australia leo wa kubatilisha hatua ya kuutambua mji wa Jerusalem Magharibi kama mji mkuu wa Israel, licha ya kukosolewa sana na Israel.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS