Mabalozi ya nyumba hamsini hawazingatiwi
Kufuatia uwepo kwa heka heka za ulinzi shirikishi katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam balozi wa nyumba hamsini mtaa wa magomeni Ramadhani Bwanga amesema kuna mitaa ambayo zoezi hili la ulinzi shirikishi limekuwa la kisiasa.