Wazazi watakiwa kuzungumza na watoto na kuwakagua
Kufuatia kuwepo kwa ongezeko la matukio ya ulawiti na ubakaji kwa watoto Jeshi la Polisi wilaya ya kiPolisi Nyamwaga Wilayani Tarime Mkoani Mara limewasihi wazazi na walezi kujenga mazoea ya kuongea na watoto pamoja na kuwakagua watoto wao ili kuweza kubaini vitendo vya ukatili