Rais Samia atoa msaada kwa watoto Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ametoa msaada kwa ajili ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu mkoani Geita kwa lengo la kuwapunguzia majukumu watu wanaovisimamia vituo hivyo mkoani humo.