Kesi ya Lissu mpaka Julai 15 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Julai 1/2025, imeahirisha tenaKesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu mpaka Julai 15/2025, kwa ajili ya kutolea maamuzi kama itapelekwa Mahakama Kuu au shauri hilo litafutwa. Read more about Kesi ya Lissu mpaka Julai 15