"Haki za watahiniwa zilindwe"- NECTA Athumani S. Amasi, Kaimu Katibu Mtendaji NECTA Baraza la Mitihani la Tanzania limewataka wasimamizi wa mitihani kusimamia sheria na kuzingatia taratibu za usimamizi wa mitihani ikiwa ni pamoja na kulinda haki za watahiniwa. Read more about "Haki za watahiniwa zilindwe"- NECTA