Museveni ataka mitano tena Uganda Rais wa Uganda Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80 amewataka wananchi wa Uganda kumuongeza miaka mitano mingine tena ili afanikishe lengo lake kukuza nchi hadi uchumi wa dola bilioni 500 Read more about Museveni ataka mitano tena Uganda