Chelsea yashusha Mastraika 4 kikosini
Klabu ya Chelsea imefanikiwa kukamilisha usajili wa wachezaji wanne katika safu yao ya ushambuliaji ambao ni Jamie Gittens kutoka Borussia Dortmund, Willian Estevao kutoka Palmeiras, Joao Pedro kutoka Brighton pamoja na Liam Delap kutoka Ipswich.