Mume adai hasira zilimpelekea kumuua mke wake
Jeshi la Polisi Geita linamshikilia Mashaka Jeremia mkazi wa mtaa wa Mkoani, Halmashauri ya mji Geita kwa tuhuma za kumuua mke wake Amina Iddy (Pichani) kwa kumchoma visu zaidi ya 10 mwilini na kusema alimuua sababu ya hasira baada ya kuuza shamba bila kumshirikisha.