"Kagera eti mnakula ugali wakati wa njaa tu"- RC
Mkuu wa mkoa wa Kagera Albert Chalamila, amewataka wakazi wa mkoa huo kuendelea kubadilika na kulima mazao mengine badala ya kutegemea kahawa na ndizi, maana tabia nchi inabadilika na kusababisha wakati mwingine ndizi kukosekana na kufanya uchumi wa mkoa kuyumba.