Watu 42,000 hupata Saratani kwa mwaka Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewaasa wananchi wa mkoa wa Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla kuacha kutumia dawa zisizofaa katika katika shughuli za uvuvi ili kuepukana na ongezeko la wagonjwa wa saratani katika ukanda huo.