Nyangumi 200 wakwama ufukweni

Zaidi ya Nyangumi 200 wamekwama Magharibi mwa Pwani ya Tasmania nchini Australia.
Nyangumi hao ambao nusu yao wanaonekana bado wapo hai waligundulika kwenye bandari ya Macquarie katika kisiwa kilichopo Pwani ya Magharibi.Eneo hilo limewahi kupatwa na hali kama hiyo miaka 2 iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS