Mabucha mapya Vingunguti yaanza kutumika

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ng'wilabuzu Ludigija

Serikali imeagiza kuanzia leo September 5, 2022 mifugo yote inayochinjwa katika machinjio ya Vingunguti nyama yake yote itatakiwa kuuzwa katika eneo maalum lililojengwa pembezoni mwa machinjio hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS