Wananchi 3,588 kunufaika na maji Kalambo
Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingia Vijijini (RUWASA) mkoa wa Rukwa, imefanikisha upatikanaji wa majisafi na salama karibu na na wananchi kufuatia kukamilika kwa mradi wa maji wa Kijiji cha Kalaela wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa utakaohudumia wakazi 3,588.