Asilimia 94.3 ya wakazi Dar wamehesabiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema mpaka asubuhi ya leo Agosti 30/2022 zaidi ya asilimia 94.3 ya wananchi wa jiji hilo wamehesabiwa Read more about Asilimia 94.3 ya wakazi Dar wamehesabiwa