Fuvu lake limebonyea, anaomba msaada
Magreth Magabilo, mkazi wa Area A Umonga Jijini Dodoma, anaomba msaada wa kupatiwa matibabu kutokana na kupata ajali ya barabarani miaka 20 iliyopita ambayo imemuacha na ulemavu wa mgongo, kushindwa kusimama, huku fuvu lake la kichwa likiwa limeingia ndani.