Upatikanaji chakula shule kuongeza afya ya akili

Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Omary Kipanga

Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS