Serikali kumaliza tatizo la maji Kigoma

Waziri wa maji mheshimiwa Jumaa Aweso amesema serikali imetenga bilioni 24 ili kujenga miradi mikubwa ya maji 49 kupitia ziwa Tanganyika mkoani Kigoma, ili kumaliza tatizo la ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo yote ya mkoa huo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS