Stars wanyimwa ruksa kufanya mazoezi kwa mkapa
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ''Taifa Stars'' Kim Poulsen amefedheshwa na kitendo cha wasimamizi wa Uwanja wa Mkapa kuinyima ruhusa timu hiyo ya Taifa kupata nafasi ya kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.