Kamati ya Bunge yapongeza makazi ya Msomera
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na namna serikali ilivyowajali wananchi waliohamia Kijiji cha Msomera kwa hiari yao wenyewe ili kupisha shughuli za uhifadhi katika eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.

