Mdee na wenzake kufungua kesi ndani ya siku 14

Halima Mdee akiwa na wabunge wenzake

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS