
Halima Mdee akiwa na wabunge wenzake
Akisoma uamuzi huo leo Julai 8, 2022, Jaji aliyekuwa anasikiliza maombi hayo Mustapha Ismail, baada ya kujiridhisha na kukubaliana na hoja zilizowasilishwa na upande wa waleta maombi kutaka kibali kufungua kesi kupinga wao kuvuliwa uanachama.
Halima Mdee na wenzake wanatakiwa kufungua kesi hiyo ndani ya siku 14 kuanzia leo, Julai 8, 2022.