Onana na Mkhitaryan watua Milan
Baada kufanikiwa kuwanasa Romelu Lukaku na Kristjan Asllani kwa mkopo kutoka Chelsea na Empoli, klabu ya Inter Milan leo imekamilisha usajili wa mlinda mlango wa Cameroon Andre Onana toka klabu ya Ajax ya nchini Uholanzi pamoja na kiungo Henrikh Mkhitaryan toka klabu ya AS Roma.