Linex afunguka kuhusu kuokoka "Namtukuza Mungu"

Picha ya msanii Linex

Msanii Linex Sunday Mjeda amenyoosha maelezo kuhusu kuokoka baada ya kuachia EP yake ya Side B yenye mahadhi ya mziki wa Injili kwa kusema anamtukuza mungu na hawezi kuweka wazi kama ameokoka au hajaokoka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS