Wavulana wanaovaa sare zenye muonekano wa sketi Picha za wanafunzi wakiwa wamevaa sare za Kilt Nyakasura ni shule ya mchanganyiko ya bweni, ya kati na upili iliyopo huko magharibi mwa nchi ya Uganda ambayo wanafunzi wa kiume wanavaa sare za 'Kilt' zenye muonekano wa sketi. Read more about Wavulana wanaovaa sare zenye muonekano wa sketi