Mbeya City watia doa sherehe za Ubingwa Yanga
Klabu ya Mbeya City imetia doa sherehe za ubingwa za Yanga leo jioni baada ya timu hizo kutoka sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa leo jioni Jijini Mbeya uwanja wa Sokoine. Yanga wamekabidhiwa kombe la ubingwa wa NBC Premier League msimu huu 2021-22.