"Kidato cha 6 wote wamefanya vizuri" - NECTA
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Athumani Amasi, amesema kwamba katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita yaliyotolewa hii leo hakuna mtahiniwa aliyefanya vibaya kwani watahiniwa wote wamefaulu kwa asilimia 99.87.