RC Makalla atoa maagizo matano kwa wenyeviti Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla leo amefanya kikao kazi cha maelekezo na viongozi wa ngazi ya wilaya, kata na Mitaa wakiwemo Madiwani, Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa Kata/ Mitaa na kuwapatia maelekezo matano ya kutekeleza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS