Trent athibitisha kuondoka Liverpool, kutua Madrid Trent Alexander-Arnold Beki wa kulia wa Uingereza Trent Alexander-Arnold amethibitisha kuwa ataondoka kwa mabingwa wa EPL Liverpool mwishoni mwa msimu huu. Read more about Trent athibitisha kuondoka Liverpool, kutua Madrid