Chelsea Yapewa asilimia 51 kushinda UEFA Conf

Tovuti ya takwimu za mpira wa Miguu Duniani (OPTA ANALYST) imeipatia Chelsea asilimia 51.1% za kushinda taji la UEFA Conference League ndani ya dakika 90 dhidi ya Real Betis hapo kesho Jumatano Uwanja wa Tarczyński, nchini Poland majira ya Saa nne kamili usiku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS