Jux kulipia laki mbili kutengeneza kichwa saloon Picha ya Jux akiwa ananyolewa nyumbani kwake Kinyozi wa wasanii J4 Barbershop amesema Jux sio mtu ambaye anahesabu fedha wakati wa malipo akimaliza kumnyoa bali anazama mfukoni na kutoa pesa zozote. Read more about Jux kulipia laki mbili kutengeneza kichwa saloon