Tembo Warriors wapewa heshima bungeni
Timu ya Taifa ya Walemavu ( Tembo Worriors) leo Juni 16,2022 imekaribishwa katika Bunge na Dkt.Tulia Akson kwa ajili ya kupongezwa na Waheshimiwa Wabunge kufuatia mashujaa hao kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini India baadae Mwaka huu.