"Mawaziri wamepata nyongeza ya 0.7%" - Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kwamba nyongeza ya mshahara ya kima cha chini cha asilimia 23 ya mshahara wa watumishi wa umma, iliwahusu zaidi wafanyakazi wenye kipato cha chini na kwamba wapo ambao hawajapata asilimia hizo.
