Watuhumiwa wa mauaji Kiteto wafikishwa Mahakamani Watu 16 wilayani Kiteto mkoani Manyara wanatuhumiwa kwa mauaji ya mwanamke mmoja aliyefahamikwa kwa jina la Enj Angel Mwaisumwa(34) mkazi wa Kata ya Matuo Read more about Watuhumiwa wa mauaji Kiteto wafikishwa Mahakamani