"Ukimzoea Mume wangu unakula vitasa" - Shilole Picha ya msanii Shilole Msanii Zuwena Mohammed Shilole hataki masihara kabisa na mume wake Rommy, ametangaza kumshushia mwanamke yeyote kichapo atakayeleta mazoea na mwanaume wake huyo. Read more about "Ukimzoea Mume wangu unakula vitasa" - Shilole