Alikiba amjibu Harmonize "Nikimpita nimemtoboa"
Staa wa mziki Bongo Alikiba amemtambia Mbwana Samatta kwa kumtaka ampange msanii Harmonize kwenye timu yake ili ampite akafunge kwenye mchezo wa Team Kiba na Team Samatta siku ya June 18 uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.