IGP Sirro awataka wananchi wasitumike na wanasiasa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema zoezi la uwekaji alama kwenywe pori tengefu lililopo tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha linakwenda vizuri hadi sasa Read more about IGP Sirro awataka wananchi wasitumike na wanasiasa