Ofisi ya Takwimu kupatiwa vishikwambi 10,000
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa ushirikiano na Ofisi ya Takwimu ya Korea Kusini, watapatiwa mafunzo ya kujengewa uwezo, kupatiwa Kompyuta 50, Vishikwambi 10,000 na kuimarishiwa maabara ya habari ya ofisi hiyo, msaada ambao umeelezwa kurahisisha zoezi la Sensa ya Watu na Makazi 2022.