Wazazi, mnaombwa kuwaruhusu na kuwawezesha watoto waende kwenye ziara za masomo
Nuru na upako umeishukia SKONGA, kwa wiki hizi mbili, sikia neno la mungu kupitia uimbaji kutoka Faraja Seminary
Huyu, ni yule Mbunifu wa majengo kutoka Charambe Sekondari.