Boniface Wambura. Maurice Njowoka.Ali Shabani Mabuyu. Juma Yusuph. Kombe la dunia. Brazil
Ali Shabani Mabuyu na Juma Yusuf wakikabidhiwa bendera ya taifa na naibu mkurugenzi wa maendeleo ya michezo-wizara ya habari, utamaduni vijana na michezo mama Juliana Matagi Yassoda.